Beauty Trendz Tz Products by Avon.

Beauty Trendz Tz Products by Avon.
Original AVON products available in Tanzania.

Tuesday, March 22, 2011

CLEARANCE SALE YAENDELEA!! EVERYTHING MUST GO!

Wadau wa make up, sasa ndio muda mwafaka wa kupata vitu Original vya Avon wakati kuna sale.. Bei zimepungua upto 30% ili vitu vyote viishe tukisubiria mzigo mpya! Vitu vilivyobaki ni hivii--->

                                      Hapo juu kitu cha SUPERCURLACIOUS MASCARA!! Bomba kwa kuvuta      lashes na kuzicurl vizuri. WAS 30,000 NOW 25,000

 Hapo juu kitu cha CREME TO POWDER FOUNDATION.. Wengi wenu mnaita two in one foundation, unapaka kama foundation inakauka na kuset kama poda. Jipatie leo! (imebaki shade ya Pure Beige) WAS 50,000 NOW 45,000!!
 Hapo juu kitu cha KABUKI BRUSH!!!Imetengenezwa na REAL GOAT HAIR so ni soft kishenzi hata ukitumia haiharibu ngozi.. unaosha inakauka haipungui quality yake. Inadumu muda mrefu! Bomba kwa kupakia Powder, Blush, Bronzer. WAS 20,000 NOW 15,000!!
 Mambo ya BUBBLE BATH hapo juu! Ukitoka kazini umechoka unataka urelax kwenye Bath tub yako.. Mambo hayoo hapo juu.. Flavour tuliyobaki nayo ni WHITE LILY! WAS 15,000 NOW 12,000

 Kwa wapenda perfume angalizoo hii perfume MPYA ya mwimbaji wa Black Eyed Peas aitwaye FERGIE! Amefanya perfume bomba na Avon iitwayo OUTSPOKEN! Hii ni gift set ina Perfume, Body spray na Body lotion.. Nzuri kama zawadi au hata mwenyewe kujinunulia.. Harufu nzuri na unique1 Njoo ujipatie leo, imebaki MOJA tu! WAS 160,000 NOW 140,000!!
 Haya mambo ya LIQUID EYELINER PEN hayoooo! Kama unapenda kujichora na eyeliner basi hapa umefika.. Inadumu kwa muda halafu iko kama kalamu ya kuchorea ili usijichafue ukiwa unapaka..Rangi yake nyeusi inakolea na haidhuru macho- (Perfect for sensitive eyes). WAS 35,000 NOW 30,000!!

 Rangi za kucha za kumwaga ndio hizooo! Zinadumu kwa muda na haziharibu kucha.. WAS 20,000 NOW 15,000!
 Kitu cha lipstick hichooo. Inaitwa SPARKLING BLUSH, ina rangi ya pink nzurii mno! Unapaka inashine kama vile umepaka lipgloss! Jipatie leo WAS 30,000 N0W 25,000!

EYESHADOW QUAD in SMOKEY EYES! Kwa wanaopenda mambo ya smokey eyes hapa utakuwa umefika! Pia box lake linakuja na maelekezo ya jinsi ya kupaka kwa hiyo hata kama hujawahi kupaka smokey eye tayari utawezeshwaa! Jipatie leoo BEI 35,000!

No comments:

Post a Comment